sw_tw/bible/other/patriarchs.md

359 B

Wazee wa ukoo

Ufafanuzi

Katika agano la kale "wazee wa ukoo" ni mababa wa Wayahudi hasa Abrahamu, Isaka na Yakobo.

  • Pia inaweza kuwaelezea wana kumi na mbili wa Yakobo ambao ni wazee wa koo 12 za kabila la Israeli.
  • Wazee wa ukoo ni sawa na mababu lakini mara nyingi inawaelezea hasa mababu wanaojulikana ambao ni viongozi wa kundi fulani la watu.