sw_tw/bible/other/palm.md

494 B

Mtende

Ufafanuzi

"mtende" ni mti mrefu wenye matawi marefu, rahisi na yanayosambaa kutoka juu.

  • Mti wa mtende kwenye Biblia umeelezewa kuwa ni mti unaotoa matunda yanayoitwa "tende." Majani yake yako kama manyoya.
  • Miti ya mitende huota sehemu zilizo na joto na majani yake hubaki kuwa ya kujani mwaka mzima.
  • Yesu alipoingia Yerusalemu akiwa juu ya punda, watu walitandika chini majani ya mitende mbele yake.
  • Majani ya mitende yanaonesha ishara ya amani na kusherehekea ushindi.