sw_tw/bible/other/onhigh.md

598 B

juu, juu sana

Ufafanuzi

Maneno " juu" na " juu sana" ni misemo inayo maanisha, "mbinguni."

  • Maana ingine ya msemo "juu sana" yaweza kuwa, "mwenye heshima sana"
  • Huu msemo waweza tumika kihalisia, kama katika msemo, "kwenye mti wa juu sana" unao maanisha "kwenye mti mrefu zaidi"
  • Msemo, "juu" waweza maanisha kuwa juu katika mbingu, kama kiota cha ndege kilicho juu. Katika Muktadha huo yaweza tafsiriwa, "juu katika mbingu" au "juu ya mti mrefu."
  • Neno "juu" pia la eleza sehemu iliyo inuka au ya umuhimu wa mtu au kitu.
  • Msemo "kutoka juu" yaweza tafsiriwa kama "kutoka mbinguni."