sw_tw/bible/other/oil.md

316 B

mafuta

Ufafanuzi

Mafuta ni maji mazito yanayo chukuliwa kutoka kwenye mimea au matunda. Katika Biblia, mafuta yalito kwenye mizeituni.

  • Mafuta ya mizeituni utumika kupika, kupaka, kutoa dhabihu, taa, na dawa.
  • Zama za kale, mafuta ya mizeituni yalikuwa na gharama na kuwa na mafuta ni kipimo cha utajiri.