sw_tw/bible/other/newcovenant.md

662 B

agano jipya

Ufafanuzi

Neno "agano jipya" la husu kujitolea au makubaliano Mungu aliyo fanya na watu wake kupitia dhabihu ya Mwanae, Yesu.

  • "agano jipya" la Mungu linaelezwa sehemu ya Biblia itwayo "Agano Jipya"
  • Hili agano jipya ni kinyume na lile la "kale" au "zamani" ambalo Mungu alifanya na Waisraeli katika Agano la Kale.
  • Agano jipya ni bora kuliko la kale kwasababu lina husu dhabihu ya Yesu, lilo patanisha dhambi za watu milele.
  • Mungu ana andika agano jipya ndani ya mioyo ya waamini wa Yesu. Hii ina sababisha wao kutii Mungu na kuishi maisha matakatifu.
  • Agano jipya litatimia siku za mwisho ambapo Mungu ataweka utawala wake duniani.