sw_tw/bible/other/nation.md

684 B

Taifa

Ufafanuzi

Taifa ni kundi kubwa la watu wanao tawaliwa na serikali. Watu wa taifa mara nyingi wa mababu sawa na ni wajamii moja.

  • Neno "taifa" mara nyingi lina maana ya utamaduni ulifahamika vizuri na kuwa na mipaka ya eneo.
  • Katika Biblia, "taifa" la weza kuwa nchi (kama Misri au Ethiopia) lakini wakatik mwingine ni kwa ujumla na uhusu kundi la watu, sana inapotumika katika wingi.
  • Taifa katika Biblia ni Waisraeli, Wafilisti, Waasyria, Wababiloni, Wakanani, Warumi, Wayunani.
  • Wakati mwingine neno "taifa" linatumika kifumbo kutaja mababu wa kundi la watu, kama Rebeka alivyo ambiwa na Mungu kuwa mtoto wake tumboni alikuwa ni "mataifa" watakao pigana wenywe.