sw_tw/bible/other/mystery.md

350 B

siri, ukweli uliyo fichika

Ufafanuzi

Katika Biblia, neno "siri" la husu kitu kisicho julikana au kigumu kuelewa ambacho Mungu sasa anaelezea.

  • Katika Agano Jipya linaeleza kuwa Kristo alikuwa siri ambayo haikujulikana awali.
  • Katika ya vitu maalumu vinavyo julikana kama siri ni kwamba Wayahudi na Wamataifa watakuwa sawa ndani ya Kristo.