sw_tw/bible/other/mind.md

475 B

nia

Ufafanuzi

Neno "nia" la husu sehemu ya mtu inayo fikiri na kufanya maamuzi.

  • Nia ya kila mtu ni jumla ya mawazo na fikra yake.
  • Kuwa na "nia ya Kristo" ina maana kufikiri na kutenda kama Yesu Kristo alivyo waza na kufanya. Ina maana kuwa mtiifu kwa Mungu Baba, kutii mafundisho ya Kristo, kuwezeshwa kufanya hivi kupitia nguvu ya Roho mtakatifu.
  • "Kubadilisha nia yake" ina maana mtu alifanya uwamuzi tofauti au alikuwa na maoni tofauti na yale alikuwa nayo.