sw_tw/bible/other/member.md

462 B

mshiriki

Ufafanuzi

Neno "mshiriki" la husu sehemu moja ya mwili au kundi.

  • Agano Jipya la elezea Wakristo kama "washiriki" wa Mwili wa Kristo.
  • Yesu Kristo ni "kichwa" wa mwili na waamini moja moja wanatumika kama washiriki wa mwili. Roho Mtakatifu anampa kila mshiriki wa mwili nafasi maalumu kusaidia mwili wote kufanya kazi vizuri.
  • Watu wanao shiriki katika makundi kama Baraza la Wayahudi na Mafarisayo pia wanaitwa "washiriki" wa haya makundi.