sw_tw/bible/other/labor.md

10 lines
237 B
Markdown

# kazi, mfanyakazi
## Ufafanuzi
Neno "kazi" linamaanisha kufanya kazi ngumu ya aina yoyote.
Kwa ujumla, kazi ni shughuli inayotumia nguvu, mara nyingi inaashiria kuwa shughuli ni ngumu.
Mfanyakazi ni mtu afanyae aina yoyote ya kazi.