13 lines
636 B
Markdown
13 lines
636 B
Markdown
# elekeza, maelekezo
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Usemi "elekeza" na "maelekezo" yanamaanisha kutoka uongozo bayana ya nini cha kufanya.
|
|
|
|
"Kutoa maelekezo" inamaanisha kumuambia mtu bayana kitu anachotakiwa kufanya.
|
|
Yesu alipowapa wanafunzi wake mikate na samaki kuwapa watu, aliwapa maelekezo bayana ya jinsi ya kuifanya.
|
|
Kulingana na mazingira, neno "elekeza" inaweza kutafsiriwa kama "kumuambia" au "kuongoza" au "kufundisha" au "kutoa maelekezo kwa."
|
|
Neno "maelekezo" inaweza kutafsiriwa kama "uongozo" au"ufafanuzi" au "kitu alichokuambia kufanya."
|
|
Mungu akikupa maelekezo, huu usemi wakati mwingine unatafsiriwa kama "kuamuru" au "kuamrisha."
|
|
|