12 lines
685 B
Markdown
12 lines
685 B
Markdown
# umbo, sanamu ya kuchonga, umbo la kuchonga, umbo la chuma
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Maneno haya yote yanatumika kumaanisha sanamu ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya kuabudu miungu ya uongo. Katika mazingira ya kuabudu sanamu, neno "sanamu" ni njia fupi ya kusema "sanamu ya kuchonga."
|
|
|
|
"Sanamu ya kuchonga" au "umbo la kuchonga" ni kitu cha mbao kilichofanywa kuonekana kama mnyama, mtu, au kitu.
|
|
"Umbo la chuma" ni kitu au sanamu iliyoundwa kwa kuyeyusha chuma na kuimwaga katika umbo tupu ambalo lina umbo la kitu, mnyama, au mtu.
|
|
Vitu hivi vya mbao na chuma vilitumika katika kuabudu miungu ya uongo.
|
|
Neno "umbo" wakati wa kuzungumzia sanamu inamaanisha kati ya sanamu ya mbao au ya chuma.
|
|
|