13 lines
454 B
Markdown
13 lines
454 B
Markdown
# uzao, kutokana na
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
"Uzao" ni mtu ambaye ni ndugu wa damu moja kwa moja wa mtu mwingine nyuma kabisa katika historia.
|
|
|
|
|
|
Kwa mfano, Abrahamu alikuwa uzao wa Nuhu.
|
|
Uzao wa mtu ni watoto wake, wajukuu, na watukuu, na kuendelea. Vizazi vya Yakobo vilikuwa makabila kumi na mawili ya Israeli.
|
|
|
|
msemo "kutokana na" ni njia nyingine ya kusema "uzao wa" kama vile "Abrahamu alitokana na Nuhu". Hii inaweza kutafsiriwa kama "kutokana na uzao wa"
|
|
|