519 B
519 B
Kukatwa
Ufafanuzi
Kukatwa ni kitendo cha kuondolewa, kufukuzwa au kutengwa toka kwenye kundi. Pia inaweza kuwa na maana ya kuuawa kama tendo la hukumu kwa ajili ya dhambi.
- Katika agano la kale kutotii amri za Mungu hupelekea kukatwa au kutengwa na watu wa Mungu na uwepo wake.
- Mungu pia alisema atawakata au kuwaharibu mataifa ambayo sio Waisraeli kwa sababu hawakumwabudu au kumtii yeye na walikuwa maadui wa Israeli.
- Pia kukata inaweza kutumika kuonesha Mungu akisababisha mtu kuacha kutiririsha maji.