604 B
604 B
ujasiri, jasiri
Ufafanuzi
Ujasiri ni kitendo cha kukabiliana au kufanya jambo gumu au la hatari.
- Jasiri ni mtu anayefanya jambo la jema hatakama anahisi kuogopa au anakatishwa tamaa.
- Mtu anaonesha ujasiri anapokutana na maumivu ya mwili au hisia na kukabiliana nayo.
- "kuchukua ujasiri" ni "kutoogopa" au "kuwa na uhakika kuwa mambo yatakuwa sawa."
- Joshua alipokuwa anajiandaa kwenda kwenye nchi hatari ya Kanaani Munsa alimwambia awe mwenye nguvu na jasiri.
- Ujasiri inaweza kutafsiriwa kama "kutoogopa" au "imara."
- Kuongea kwa ujasiri inaweza kutafsiriwa kama "kuongea bila kuogopa"