523 B
523 B
ushauri, mshauri
Ufafanuzi
Ushauri inamaana ya kumsaidia mtu kuamua kwa busara juu ya jambo fulani. Mshauri mwenye busara ni mtu anayetoa ushauri ambao utamsaidia mtu kuamua kwa usahihi.
- Wafalme wana washauri maalumu wanaowasaidia kuamua mambo ya muhimu juu ya watu wanaowaongoza.
- Mara nyingine ushauri unaotolewa waweza ukawa mbaya. Mshauri mbaya anaweza kumshauri mfalme kufanya maamuzi ya kuwadhuru watu.
- Inategemea na mukhtadha ushauri yaweza kutafsiriwa kama "kusaidia kuamua." au "onyo" au "mwongozo."