sw_tw/bible/other/corrupt.md

344 B

Rushwa

Ufafanuzi

Rushwa ni hali ambayo watu wameharibika,hawana maadili na sio waaminifu.

  • Rusha inamaana ya kuharibika kimaadili.
  • Mtu ambaye ni fisadi ameacha kabisa kweli na kufanya mambo yasiyofaa na yaliyoharibika.
  • Pia kuna kitendo cha kumfanya mtu awe fisadi kwa kumchochea asiwe mwaminifu na afanye mambo yasiyo na maadili.