sw_tw/bible/other/commit.md

450 B

Kufanya, nia, kujituma

Ufafanuzi

Kufanya au kujituma ni kitendo cha kufanya maamuzi au kuahidi kufanya jambo fulani.

  • Mtu anayeahidi kufanya jambo ni mtu mwenye nia ya kufanya jambo hilo.
  • Kumpa mtu afanye jambo fulani inmaanisha kumkabidhi mtu shughuli fulani ya kufanya
  • Kufanya pia yaweza kuwa na maana ya kufanya dhambi au kufanya uzinzi au kufanya uuaji.
  • Kujituma yaweza kutafsiriwa kama "kazi iliyotolewa" au "ahadi iliyotolewa."