sw_tw/bible/other/breastplate.md

918 B

kifuko cha kifuani

Ufafanuzi

Neno "dirii" ni kipande cha silaha kinachofunika kifua kumlinda askari wakati wa vita. Neno "kifuko cha kifuani" linamaanisha kipande maalumu cha nguo ambacho kuhani mkuu wa Kiisraeli alivaa katika sehemu yake ya mbele kifuani.

  • "Dirii" iliyotumiwa na askari ilitengenezwa kwa miti, chuma au ngozi ya mnyama. Ilikuwa imetengenezwa kuzuia mishale, mikuke, na upanga katika kuchoma kifua cha askari.
  • "Kifuniko" kilichovaliwa na kuhani mkuu kilikuwa kimetengenezwa kwa nguo na kilikuwa kitu kilichounganiswa nacho. Kuhani alikivaa alipokuwa katika majukumu yake ya kumtumikia Mungu hekaluni.
  • Njia nyingine ya kutafasiri "dirii" ni pamoja na, "kifaa cha chuma cha kufunika kifua" au delaya ya kulinda kifua."
  • Neno "kifuniko" litafasiriwe kwa neno limaanishalo, vazi la kikuhani lifunikalo kifua" au "kipande cha vazi la kikuhani" au "kipande cha mbele cha vazi la kuhani."