sw_tw/bible/other/bookoflife.md

568 B

Kitabu cha uzima

Ufafanuzi

Neno "Kitabu cha uzima" linatumika kumaanisha Mungu alipoandika majina ya watu aliowakomboa na kuwapa uzima wa milele.

  • Kitabu cha ufunuo kinarejerea kitabu hiki kama "Kitabu cha Uzima cha Mwanakondoo." Ingeweza kutafasiriwa kama "kitabu cha Yesu cha uzima, Mwanakondoo wa Mungu." Sadaka ya Yesu msalabani ililipa adhabu ya dhambi za watu ili waweze kuwa na uzima wa milele kwa njia ya kumwamini.
  • Neno kwa "kitabu" laweza pia kumaanisha, "gombo" au "andiko" "kitabu cha sheria." Inaweza kuwa na maana halisia au ya kimafumbo.