sw_tw/bible/other/ax.md

308 B

Shoka

Ufafanuzi

Shoka ni kifaa kinachotumika kukatia miti au mbao.

  • Mara nyingi shoka huwa na mpini wa mbao.
  • Kama kwenye jamii yako kuna kifaa kinafanana na shoka ni vizuri kutumia jina la kifaa hicho kutafsiri "shoka."
  • Namna nyingine ya kutafsiri neno hili ni "kifaa cha kukatia mti au mbao."