522 B
522 B
majivu, vumbi
Ufafanuzi
Majivu ni vumbi la kijivu linalobaki baada ya kuni kuungua. Hutumika pia kama lugha ya picha kuonesha kitu kisicho na thamani.
- Kwenye Biblia mara nyingine neno "vumbi" linatumika kuzungumzia majivu. pia inaweza kuwa uchafu unaotoka katika ardhi kavu.
- "Majivu mengi" ni sawa na kusema "rundo la majivu."
- Zamani kukaa kwenye majivu ilikuwa ishara ya kuomboleza.
- Wakati wa kuomboleza, ilikuwa ni tamaduni kuvaa mavazi ya magunia, kukaa kwenye majivu nakujipaka majivu kwenye kichwa.