sw_tw/bible/other/altarofincense.md

531 B

Madhabahu ya kufukizia.

Ufafanuzi

Madhabahu ya kufukizia ilikuwa sehemu ya samani ambayo kuhani aliitumia kuchoma uvumba kama sadaka kwa Mungu. Ilikuwa inaitwa madhabahu ya dhahabu.

  • Madhabahu ya kufukizia ilitengenezwa kwa mbao, pembeni na juu yake ilifunikwa kwa dhahabu. Ilikuwa kama nusu mita kwa urefuna nusu mita upana.
  • Kila siku asubuhi na jioni kuhani alifukiza uvumba.
  • Hii inaweza kutafsiriwa kama "madhabahu ya kuchoma uvumba" au "madhabahu ya dhahabu" au "madhabahu ya kufukizia" au "meza ya kufukizia."