sw_tw/bible/other/alarm.md

11 lines
493 B
Markdown

# Onyo
## Ufafanuzi
Onyo ni kitu ambacho kinawatahadharisha watu juu ya jambo fulani ambalo linaweza kuwadhuru. "kuonywa" ni kuambiwa juu ya jambo fulani la hatari.
* Mfalme Yehoshafati alionywa aliposikia Wamoabu wanapanga kuvamia ufalme wa Yuda.
* Yesu aliwaambia wanafunzi wake wasiwe na wasiwasi watakaposikia juu ya majanga yatakayotokea siku za mwisho.
* "kutoa onyo" inamaanisha kutoa tahadhari. Zamani mtu aliweza kupaza sauti za kutoa onyo kwa kupiga kelele ya kitu kama kengele.