sw_tw/bible/other/age.md

355 B

Umri

Ufafanuzi

"Umri" ni idadi ya miaka aishiyo mwanadamu. pia hutumika kuonesha nyakati kwa ujumla.

  • Maneno mengine yanayotumika kuelezea wakati ni kipindi au msimu.
  • Yesu anarejea "nyakati hizi" kama wakati wa sasa ambapo dhambi, uovu na kutokutii kumeijaza dunia.
  • Kutakuwa na nyakati zijazo ambapo haki itatawala mbinguni na duniani pote.