sw_tw/bible/other/afflict.md

376 B

Mateso

Ufafanuzi

Mateso ni kitendo cha kumsababishia mtu mateso. Mateso ni ugonjwa, huzuni ya kihisia au majanga mengine yatokanayo na mateso.

  • Mungu aliwapa mateso watu wake kupitia magonjwa na tabu zingine ili kuwasababisha watubu dhambi zao na wamrudie yeye.
  • Mungu alisababisha mateso au mapigo kwa wana wa Israeli kwa sababu mfalme wao alikataa kumtii Mungu.