sw_tw/bible/other/admonish.md

361 B

Mawaidha

Ufafanuzi

Neno "mawaidha" linamaana ya kuonya au kumshauri mtu.

  • Mara nyingi "mawaidha" huwa na maana ya kumshauri mtu asifanye jambo fulani.
  • Katika mwili wa Kristo, waamini wanafundishwa kupeana mawaidha wao kwa wao ili kuepuka dhambi na kuishi maisha matakatifu.
  • Neno mawaidha linaweza kutafsiriwa kama "kumhimiza mtu asitende dhambi."