sw_tw/bible/other/acknowledge.md

377 B

Tambua

Ufafanuzi

Neno "tambua" lina maana ya kutambua kwa usahihi kitu fulani au mtu.

  • Kumtambua Mungu pia inajumuisha kutenda kwa namna ambayo itaonesha kuwa anayoyasema ni kweli.
  • Watu wanaomtambua Mungu huonesha kwa kumtii Mungu ambayo huleta utukufu kwa jina lake.
  • Kutambua kitu ina maana ya kuamini kuwa ni kweli, kwa maneno na matendo yanayothibitisha hayo.