sw_tw/bible/other/abyss.md

382 B

Shimo lisilo na mwisho

Ufafanuzi

"Shimo lisilo na mwisho" ni shimo kubwa, lenye kina kirefu au pengo lisilo na mwisho.

  • Kwenye Bilblia "shimo lisilo na mwisho" ni sehemu ya adhabu.
  • Kwa mfano, Yesu alipokuwa anawaamuru pepo wachafu wamtoke yule mtu, walimuomba asiwapeleke kwenye shimo lisilo na mwisho.
  • Pia "shimo lisilo na mwisho" linaweza kutafsiriwa kama "kuzimu"