sw_tw/bible/names/zechariahnt.md

432 B

Zakaria (Agano Jipya)

Ufafanuzi

Katika Agano Jipya, Zakaria alikuwa kuhani wa kiyahudi aliyekuja kumzaa Yohana Mbatizaji.

  • Zakari alimpenda Mungu na kumtii.
  • Zakari na Elsabethi mkewe waliomba miaka mingi kwa uaminifu ili wapate mtoto lakini hawakupata. Lakini Mungu alijibu maombi yao wakiwa wazee, kwa kuwapa mtoto.
  • Zakaria alitabiri kuwa Yohana mwanawe angekuwa nabii ambaye angetangaza na kuandaa njia ya Masiya.