sw_tw/bible/names/uzziah.md

679 B

Uzia, Azaria

Ufafanuzi

Uzia alikuwa mfalme wa Yuda akiwa ni umri wa miaka 16 na akatawala miaka 52, ambao ulikuwa utawala mrefu. Uzia alijulikana kama "Azaria."

  • Mfalme Uzia alijulikana kwa mpangilio na ujuzi wa kijeshi. Alikuwa na maghorofa yaliyo jengwa kulinda mji na silaha maalumu za vita zilizo undwa na kuwekwa juu yake kubeba mishale na mawe makubwa.
  • Kadri Uzia alivyo mtumikia Bwana, alifanikiwa. Mwisho utawala wake, walakini, alipatwa na kiburi na hakumtii Bwana kwa kuchoma uvumba kwenye hekalu, ambaye kuhani tu ndiye aliruhusiwa kufanya hivyo.
  • Kwasababu ya dhambi hii, Uzia aliumwa na ukoma na alibidi aishi mbali na watu hadi mwisho wa utawala wake.