sw_tw/bible/names/troas.md

572 B

Troa

Ufafanuzi

Mji wa Troa ulikuwa bandari kaskazini magharibi mwa pwani ya eneo la Rumi huko Asia.

  • Paulo alitembelea Troas mara tatu kipindi cha safari zake maeneo tofauti kuhubiri injili.
  • Siku moja huko Troa Paulo alihubiri muda mrefu hadi usiku na kijana mmoja Eutiko alianguka chini kwasababu ya usingizi kwa kumsikiliza. Maana alikuwa ameketi katika dirisha lillio wazi, Eutiko alianguka chini sana na kufa. Kwa nguvu za Mungu, Paulo alimleta kijana huyu uzimani.
  • Paulo alipo kuwa Rumi, alimuomba Timotheo kuleta vitabu vyake na koti, aliyo acha Troa.