sw_tw/bible/names/silas.md

475 B

Sila, Silivanu

Ufafanuzi

Sila alikuwa kiongozi miongoni mwa waamini wa Yerusalemu.

  • Wazee wa kanisa la Yerusalemu alichagua Sila na Paulo na Barnaba kuleta barua kwa mji wa Antioki.
  • Sila baadae alisafiria na Paulo kwenye miji mingine kufundisha watu kuhusu Yesu.
  • Paulo na Sila waliwekwa gerezani katika mji wa Filipi. Waliimba nyimbo kwa Mungu wakati walipo kuwa huko na Mungu akawafungua kutoka gerezani. Askari wa gereza akawa Mkristo sababu ya ushuhuda wao.