sw_tw/bible/names/shimei.md

316 B

Shimei

Ufafanuzi

Shimei ni jina la wanaume kadhaa wa Agano la Kale.

  • Shimei mwana wa Gera, alikuwa Mbenjamini aliye mlaani Mfalme Daudi na kutupa mawe kwake alipo kuwa akikimbia Yerusalemu kutoroka asiuliwe na mwanaye Absalomu.
  • Pia kulikuwa na makuhani wa Kilawi katika Agano la Kale waliyo itwa Shimei.