sw_tw/bible/names/samson.md

12 lines
656 B
Markdown

# Samsoni
## Ufafanuzi
Samsoni alikuwa mmoja wa waamuzi, au mkombozi, wa Israeli. Alitoka kabila la Dani.
* Mungu alimpa Samsoni uwezo mkubwa wa kibanadamu aliyo tumia kupigana na maadui wa Israeli, Wafilisti.
* Samsoni aliwekwa chini ya kiapo kutonyoa nywele na kutokunywa mvinyo au kinywaji chochote kilicho chachwa. Kadri alivyo shika hichi kiapo, Mungu aliendelea kumpa uwezo.
* Hatimaye alivunja kiapo chake na kuruhusu nywele zake kunyolewa, ambao ili ruhusu Wafilisti kumkamata.
* Wakati Samsoni alipo kuwa matekani, Mungu alimruhusu kupata tena uwezo wake na kumpa nafasi ya kuharibu hekalu la mungu wa uongo Dagoni, pamoja na Wafilisti wengi.