641 B
641 B
Bahari ya Chumvi, Bahari iliyo Kufa
Ufafanuzi
Bahari ya Chumvi( inayo itwa pia Bahari iliyo Kufa) ilikuwa kati ya kusini mwa Israeli upande wa magharibi na Moabu upande wa mashariki.
- Mto Yordani una shuka kusini kwenye Bahari ya Chumvi.
- Kwasababu ni ndogo kuliko bahari nyingine, hii yaweza itwa "Ziwa la Chumvi."
- Hii bahari ina idadi kubwa ya madini (au "chumvi) inayo maanisha kwamba hakuna kinacho weza kuishi ndani ya maji yake. Hapo ndipo jina "Bahari iliyo Kufa" limetoka.
- Kati Agano la Kale, hii bahari inaitwa pia "Bahari ya Araba" na "Bahari ya Negevi" kwasababu ya maeneo yake karibu na pande za Araba na Negevi.