sw_tw/bible/names/rome.md

11 lines
470 B
Markdown

# Rumi
## Ufafanuzi
Katika agano jipya mji wa Rumi ulikuwa mji muhimu wa himaya ya Warumi. Sasa ni mji kuu wa Itali.
* Himaya ya Warumi ilitawala miji yote kuzunguka bahari ya Mediteraniani pamoja na Israeli.
* Rumi ni neno linaloelezea chochote kinachozungumzia miji iliyotawaliwa na serikali ya Rumi.
* Mtume Paulo alipelekwa mji wa Rumi kama mfungwa kwa sababu alihubiri habari njema kuhusu Yesu. Kitabu cha Warumi ni barua ya Paulo kwa Wakristo waliokuwa Rumi.