sw_tw/bible/names/reuben.md

408 B

Rubeni

Ufafanuzi

Rubeni alikuwa mtoto wa kwanza wa Yakobo. Mama yake alikuwa Lea.

  • Kaka zake walipopanga kumuua mdogo wao Yusufu, Rubeni aliyaokoa maisha ya Yusufu kwa kuwaambia wamtupe katika shimo.
  • Robeni alikuja baadae kumuokoa Yusufu lakini kaka zake wengine walikuwa wameshamuuza kama mtumwa kwa wafanyabiashara waliokuwa wakipita.
  • Uzao wa Rubeni ulikuja kuwa moja ya makabila ya Israeli.