492 B
492 B
Rehoboamu
Ufafanuzi
Rehoboamu alikuwa mmoja wa wana wa mfalme Sulemani na alikuja kuwa mfalme baada ya Sulemani kufa.
- Katika mwanzo wa utawala wake Rehoboamu alikuwa mkali sana kwa watu wake hivyo makabila kumi ya Israeli waliasi dhidi yake na kuunda ufalme wa Israeli huko Kaskazini.
- Rehoboamu aliendelea kuwa mfalme wa ufalme wa Kusini wa Yuda ambapo kulikuwa na makabila mawili Yuda na Benyamini.
- Rehoboamu alikuwa kiongozi mbaya asiyemtii Mungu na kuabudu miungu ya uongo.