sw_tw/bible/names/ramah.md

329 B

Rama

Ufafanuzi

Rama ulikuwa mji wa zamani wa Israeli uliokuwa kilometa 8 toka Yerusalemu. Ulikuwa mji ambao Benyamini aliishi.

  • Rama ni mahali ambapo Raheli alimzaa Benyamini.
  • Waisraeli walipochukuliwa mateka Babeli Waliletwa kwanza Rama kabla ya kwenda Babeli.
  • Rama ilikuwa nyumbani kwa mama na baba yake Samweli.