sw_tw/bible/names/philistia.md

369 B

Ufilisti

Ufafanuzi

Ufilisti ni jina la mji mkubwa katika nchi ya Kanaani iliyopo pwani mwa Bahari ya Mediteraniani.

  • Mji huu ulikuwa kando ya pwani yenye rutuba toka Yopa kaskazini kwenda Gaza kusini. Ilikuwa Kilometa 64 urefu na upana Kilometa 16.
  • Ufilisti ilikaliwa na "Wafilisti" kundi la watu lenye nguvu ambao mara nyingi walikuwa maadui wa Waisraeli.