sw_tw/bible/names/pharaoh.md

354 B

Farao, mfalme wa Misri.

Ufafanuzi

Hapo nyakati za kale wafalme waliotawala nchi ya Misri waliitwa Mafarao.

  • Kwa pamoja zaidi ya wafalme 300 walitawala Misri kwa miaka zaidi ya 2,000.
  • Wafalme hawa wa Misri walikuwa na nguvu na utajiri.
  • Baadhi ya Mafarao hawa wametajwa kwenye Biblia.
  • Mara nyingi cheo hiki kimetajwa kama jina na sio cheo.