sw_tw/bible/names/persia.md

652 B

Uajemi, Waajemi

Ufafanuzi

Uajeni ni nchi ambayo ilikuja kuwa ngome kubwa iliyoundwa na mfalme Cyrus mwaka 550 kabla ya Kristo. Nchi ya uajemi ilikuwa kusini mashariki mwa Babeli na Ashuru ambayo kwa sasa ni Irani.

  • Watu wa Uajemi waliitwa Waajemi.
  • Mfalme Cyrus alisema kuwa Wayahudi wapo huru toka mateka huko Babeli na akawaruhusu kurudi nyumbani na hekalu la Yerusalemu likajengwa kwa pesa zilizotoka katika ngome ya Uajemi.
  • Mfalme Artashasta alikuwa kiongozi wa ngome ya Uajemi wakati ambao Ezra na Nehemia walirudi Yerusalemu na kujenga tena ukuta wa Yerusalemu.
  • Esta akawa malkia wa ngome ya Uajemi alipoolewa na mfalme Ahusuero.