sw_tw/bible/names/perizzite.md

369 B

Mperizi

Ufafanuzi

Waperizi walikuwa watu wa kundi fulani katika nchi ya Kanaani. Ni machache yamezungumzwa juu ya kundi hili.

  • Waperizi wanatajwa sana katika agano la kale kitabu cha Waamuzi ambapo ilirekodiwa kuwa Waperizi walioana na Wisraeli na kuwashawishi kuabudu miungu ya uongo.
  • Ukoo wa Perezi ulioitwa "waperezi" lilikuwa kundi tofauti na Waperizi.