sw_tw/bible/names/nineveh.md

328 B

Ninawi, Mninwai

Ufafanuzi

Ninawi ilikuwa mji mkuu wa Asyria. Mninawi alikuwa mtu aliye ishi Ninawi.

  • Mungu alimtuma nabii Yona kuwaonya Waninawi kugeuka kutoka njia zao mbaya. Watu walitubu na Mungu hakuwa haribu.
  • Waasyria baadae waliacha kumtumikia Mungu. Walishinda ufalme wa Israeli na kubeba watu kwenda Ninawi.