622 B
622 B
Nazarethi, Nazarini
Ufafanuzi
Nazarethi ni mji katika mji wa Galilaya kusini mwa Israeli. Ilikuwa kama kilomita 100 kaskazini mwa Yerusalemu, iliyo chukuwa kam siku tatu hadi tano kufika kwa miguu.
- Yusufu na Maria walitoka Nazarethi, na hapo ndipo walipo mlelea Yesu.
- Ndio maana Yesu alijulikana kama "Mnazarini"
- Wayahudi wengi wanao ishi Nazarethi hawaku muheshimu Yesu na mafundisho yake, kwasababu alikulia miongoni mwao na wakadhani alikuwa mtu tu wa kawaida.
- Wakati Yesu alipo kuwa anafundisha sinagogi la Nazarethi, Wayahudi walijaribu kumuua kwasababu alidai kuwa Mesia na akawakemea kwa kumkataa.