sw_tw/bible/names/nathan.md

309 B

Nathani

Ufafanuzi

Nathani alikuwa nabii mwaminifu wa Mungu aliye ishi kipindi cha Daudi akiwa mfalme wa Israeli.

  • Mungu alimtuma Nathani kumuona Daudi alipo tenda dhambi dhidi ya Uria.
  • Nathani alimkemea Daudi, japo kuwa Daudi alikuwa mfalme.
  • Daudi alitubu dhambi yake baada ya Nathani kumfuata.