446 B
446 B
Naftali
Ufafanuzi
Naftali alikuwa mwana wa sita wa Yakobo. Uzao wake uliunda kabila la Naftali, ambalo lilikuwa moja ya kabila la Israeli.
- Wakati mwingine jina Nafatali linatumika kueleza nchi kabila lipo ishi.
- Nchi ya Naftali ilikuwa upande wa kaskazini mwa Israeli, karibu na kabila la Dani na Asheri. Pia lilikuwa mpaka wa magharibi wa Bahari ya Chinerethi.
- Hili ni kabila lilotajwa katika Agano la Kale na Jipya katika Biblia.