sw_tw/bible/names/mordecai.md

10 lines
459 B
Markdown

# Modekai
## Ufafanuzi
Modekai alikuwa mwanaume wa Kiyahudi katika nchi ya Jemi. Alikuwa mlinzi wa binamu wake Esta, ambaye baadae alikuwa mke wa mfalme wa Kijemi, Ahasuerusi
* Wakati akifanya kazi hikulu, Modekai alisikia watu wakipanga njama kumuua mfalme Ahasuerusi. Alitoa taarifa na maisha ya mfalme yakapona.
* Wakati mwengine, Modekai aligundua mbinu ya kuua Wayahudi wote katika ufalme wa Kijemi. Alimshauri Esta kumuomba mfalme kuokoa watu wake.