sw_tw/bible/names/moab.md

474 B

Moabu, Mmoabu

Ufafanuzi

Moabu alikuwa mwana wa kwanza wa binti wa Lutu. Pia likawa jina la nchi ambapo yeye na familia yake waliishi. Neno "Moabu" la husu mtu wa uzao wa Moabu au anaishi katika nchi ya Moabu.

  • Nchi ya Moabu ilikuwa mashariki mwa Bahari ya chumvi.
  • Moabu ilikuwa kusini mashariki kutoka mji wa Bethelehemu ambapo Naomi na familia yake waliishi.
  • Watu wa Bethelehemu wallimuita Ruthi "Mwanamke Mmoabu" kwasababu alikuwa mwanamke wa nchi ya Moabu.